Camaldoli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Camaldoli ni monasteri muhimu katika eneo la msitu la kijiji cha Poppi, katika mkoa wa Toscana, Italia.


Ndiyo asili ya tawi la Wakamaldoli la wamonaki Wabenedikto.
Ilianzishwa mwaka 1023 hivi na Romwald abati kwa ruhusa ya askofu Tedaldo wa Arezzo.
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads