Caterina Murino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Caterina Murino (amezaliwa 15 Septemba 1977) [1] ni mwigizaji wa Kiitaliano.

Maisha na Taaluma
Alizaliwa mjini Cagliari, Sardinia, nchini Italia. Yeye mwanzowe alitaka kuwa daktari, lakini alibadilisha kazi yake na kuingilia kazi ya upambe (beauty pageants) baada ya kutofaulu mtihani wa kiingilio wa kusomea udaktari.[2] Yeye alikuwa nambari ya tano katika mashindano ya Miss Italy mnamo 1996. [3] Mwaka 1999 na 2000, alisomea masomo ya maigizo katika "Cinema of Theatre of Francesca de Sapio", na alionekana katika utayarishaji wa Richard III na tamthiliya za lugha ya Kiitaliano. Ameanza kazi katika televisheni mwaka 2002. Yeye alipata umaarufu kote duniani baada kuigiza kama Solange mnamo [[2006 kwenye kipindi cha James Bond James Bond iitwayo Casino Royale.|2006 kwenye kipindi cha James Bond James Bond iitwayo Casino Royale. ]]
Yeye huzungumza Kiitalia, Kihispania, Kiingereza na Kifaransa. [4] Amekuwa anaoishi mjini Paris tangu mwaka wa 2004. Mwaka wake wa kuzaliwa unaripotiwa kuwa 1974 mara nyingine,[5] ingawa tovuti yake rasmi inatoa mwaka wa 1977.
Remove ads
Filamu alizoigiza
- Nowhere (2001)
- Il Regalo Di Anita (2002)
- L'Enquête Corse (2004)
- L'Amour aux Trousses (2004)
- Elonora d'arborea (2005)
- Les Bronzes 3 (2005)
- Vientos de agua (2006)
- Casino Royale (2006)
- St Trinian's (2007)
- Il seme della discordia (2008)
- The Garden of Eden (2008)
- XIII (2009)
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads