Mkonje
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mikonje, mikonge au panga ni spishi mbili za samaki wa baharini katika jenasi Chirocentrus ya familia Chirocentridae na oda Clupeiformes. Wana nasaba na dagaa.
Spishi zote mbili zina mwili uliorefuka na mataya yenye meno marefu makali ambayo huwezesha hamu yao kubwa, hasa kwa samaki wengine. Hufikia urefu wa m 1. Wana mbavu za rangi ya fedha na mgongo wa kibuluu.
Mikonje huvuliwa kwa kibiashara na kuuzwa wabichi au waliogandishwa.
Remove ads
Spishi
- Chirocentrus dorab, Mkonje Dorabi (Dorab wolf herring)
- Chirocentrus nudus, Mkonje Mapezi-meupe (Whitefin wolf herring)
Picha
- Mkonje mapezi-meupe
Marejeo
- Rashid Anam & Edoardo Mostarda (2012) Field identification guide for the living marine resources of Kenya. FAO, Rome.
- Gabriella Bianchi (1985) Field guide to the commercial marine brackish-water species of Tanzania. FAO, Rome.
Viungo vya nje
- Mkonje dorabi kwenye hifadhidata ya samaki Ilihifadhiwa 26 Januari 2022 kwenye Wayback Machine.
- Mkonje mapezi-meupe kwenye hifadhidata ya samaki Ilihifadhiwa 26 Januari 2022 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkonje kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads