Kipondya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kipondya
Remove ads

Vipondya ni ndege mbuai wa jenasi Circus, jenasi pekee ya nusufamilia Circinae katika familia Accipitridae, ambao hukamata wanyama na ndege wadogo. Wakitafuta mawindo vipondya huruka kwa mwinuko mfupi juu ya viwanja na vinamasi na huweka mabawa yao kwa V fupi. Rangi za manyoya ya dume na jike ni tofauti. Hulitengeneza tago lao ardhini au juu ya mti na jike huyataga mayai 1-8.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads