Cradle to the Grave

From Wikipedia, the free encyclopedia

Cradle to the Grave
Remove ads

"Cradle to the Grave" (hutajwa kama: Cradle 2 the Grave) ni kwenye Thug Life (kundi la kwanza la albamu ya 2Pac), Thug Life Volume 1. Hiki ni kibao pekee kutoka katika albamu na kufikia nafasi ya chati, kwa kushika #25 kwenye chati za Billboard Hot Rap Singles na #91 kwenye chati za Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks.[1]

Ukweli wa haraka Single ya Thug Life kutoka katika albamu ya Thug Life Volume 1, Imetolewa ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads