De La Soul
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
De La Soul ni kundi la muziki wa hip hop linalounganishwa na wasanii kutoka mjini Long Island, New York, Marekani.[2] Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1987. Kundi linafahamika sana kwa mtindo wao wa kuchukua sampuli za nyimbo nyingine na kufanya sampuli hizo kiumeme-umeme na mchango wao mkubwa katika kueneza mtindo wa jazz rap na alternative hip hop.
Wanachama wa kundi ni pamoja na Kelvin Mercer, David Jude Jolicoeur na Vincent Mason, wanafahamika kwa majina kadhaa ya utani. Watatu hao walianzisha kundi hili wakiwa sekondari na kupata mtawasha wa mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop bwana Prince Paul wakiwa na tepu ya mfano ya wimbo wa "Plug Tunin'".
Remove ads
Diskografia
- 3 Feet High and Rising (1989)
- De La Soul is Dead (1991)
- Buhloone Mindstate (1993)
- Stakes Is High (1996)
- Art Official Intelligence: Mosaic Thump (2000)
- AOI: Bionix (2001)
- The Grind Date (2004)
- First Serve (2012)
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads