Diego wa Alkala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Diego wa Alkala, O.F.M. (San Nicolás del Puerto, Sevilia, Hispania, 1400 hivi - Alcalá de Henares, Hispania, 12 Novemba 1463) alikuwa bruda wa shirika la Ndugu Wadogo aliyeng'aa kwa upendo kwa wagonjwa[1].


Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa kuwa hivyo na Papa Sixtus V mwaka 1588.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Novemba[2].
Remove ads
Maisha
Alifanya kazi ya umisionari katika visiwa vya Kanaria (karibu na pwani ya Moroko).
Alipohiji Roma kwa Jubilei alijitosa kuhudumia waliopatwa na tauni.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads