Didimo wa Ankara

From Wikipedia, the free encyclopedia

Didimo wa Ankara
Remove ads

Didimo wa Ankara (pia: Gemellus; alifariki Ancyra, leo Ankara, nchini Uturuki, 362 hivi) alikuwa Mkristo wa Paflagonia[1] katika Dola la Roma aliyefia imani yake wakati wa kaisari Juliani Mwasi, inasemekana kwa kusulubiwa[2][3].

Thumb
Kifodini cha Mt. Didimo katika mchoro mdogo wa Menologion of Basil II.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Desemba.[4]

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads