Dominiko wa Silos
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dominiko wa Silos, O.S.B. (Rioja, Hispania, 1000 - Silos, Hispania, 20 Desemba 1073) alikuwa mkaapweke aliyefufua monasteri ya Silos kwa kurudisha nidhamu na masifu ya kudumu kwa Mungu akawa abati wake.

Alijitahidi kueneza urekebisho wa umonaki wa Kibenedikto lakini pia kukomboa Wakristo waliotekwa na Waislamu kama watumwa[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 20 Desemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads