Domisyano wa Melitene

From Wikipedia, the free encyclopedia

Domisyano wa Melitene
Remove ads

Domisyano wa Melitene (550 hivi - 602) alikuwa askofu wa Melitene, Armenia ya Kale, leo Malatya, nchini Uturuki, kuanzia mwaka 580 hivi hadi kifo chake[1].

Thumb
Mazishi ya Mt. Domisyano.

Alishughulikia sana uongofu wa Waajemi[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Januari[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads