Drostano

Mwanzilishi na abate wa monasteri ya Old Deer huko Aberdeenshire From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Drostano ([pia: Drostan, Drustan, Dustan, Tristan na Throstan; karne ya 6 - karne ya 7) alikuwa mmonaki wa Uskoti, mwanafunzi wa Kolumba wa Iona[1].

Alianzisha na kuongoza monasteri mbalimbali nchini, pamoja na kuinjilisha sehemu za Aberdeen, akamalizia maisha yake upwekeni[2][3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Julai[5].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads