Duncan Mighty
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Duncan Wene Mighty Okechukwu (anajulikana pia kama Duncan Mighty, amezaliwa 28 Oktoba 1983) ni mwanamuziki, mwimbaji, na mtayarishaji wa muziki wa Nigeria kutoka eneo la serikali ya mtaa ya Obio-Akpor, Jimbo la Rivers[1].
Maisha binafsi
Mnamo tarehe 25 Julai 2015, Duncan Mighty alimuoa mchumba wake Vivien, tukio hilo lilikuwa kwa mwaliko pekee ambapo msanii maarufu wa nyimbo za injili Sammie Okposo alitihudhuria kama msanii mgeni.[2] Mastaa wa Nigeria kama vile Yemi Alade, Phyno na Patoranking walihudhuria sherehe hiyo. Duncan Mighty alikuwa amemwomba mchumba wake huyo kufunga nae ndoa mnamo Novemba 2014.[3]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads