Eberigisili

From Wikipedia, the free encyclopedia

Eberigisili
Remove ads

Eberigisili[1] (alifariki karibu na Tongres, leo nchini Ubelgiji, 593 hivi) alikuwa Askofu mkuu wa Cologne, Ujerumani, wa tano kati ya wale wanaojulikana kwa hakika, na wa kwanza mwenye jina la Kifaranki[2].

Thumb
Eberigisili

Aliuawa na majambazi njiani akiwajibika katika majukumu ya kichungaji [3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads