Efebo wa Napoli

From Wikipedia, the free encyclopedia

Efebo wa Napoli
Remove ads

Efebo wa Napoli (pia: Euphebius, Ephebus, Euphemus, Efrimus, Eframo; alifariki karne ya 4) alikuwa askofu wa 8 wa Napoli, Italia anayesifiwa kwa uaminifu na juhudi zake kama mchungaji wa waumini na kwa miujiza yake[1].

Thumb
Mchoro wa Luca Giordano, Watakatifu wasimamizi wa Napoli: Bakulo, Efebo, Fransisko Borgia (wamesimama), Aspreno] na Kandida Mzee (magotini)) wakiabudu Msulubiwa, karne ya 17. Uko katika Palazzo Reale, Napoli.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Mei[3][4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads