Eleukadio

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Eleukadio (alifariki Ravenna, Emilia-Romagna, Italia, karne ya 2) alikuwa askofu wa tatu wa mji huo [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Februari[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads