Ermengild
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ermengild (pia: Hermenegildo, kutoka Kigoti Airmana-gild; alifariki Hispalis, Hispania, 585 hivi) alikuwa mwanamfalme aliyeongokea Ukatoliki kwa juhudi za Leandri wa Sevilla.

Hatimaye aliuawa kwa shoka kwa ajili ya imani yake kwa amri ya Leovigild, baba yake, mfuasi wa Ario, ambaye alimtaka siku ya Pasaka mwanae apokee ekaristi kutoka kwa askofu mzushi[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads