Ermini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ermini (Laon, Aisne, leo nchini Ubelgiji, karne ya 7 - Lobbes, Hainault, Ubelgiji, 25 Aprili, 737) alikuwa padri halafu mmonaki, mwandamizi wa Ursmari kama abati na askofu wa Lobbes.
Pamoja na kuzingatia sala, alifanya umisionari mkubwa, akisaidiwa na karama zake za pekee, ukiwemo unabii [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads