Evurzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Evurzi
Remove ads

Evurzi (pia: Euvert, Euverte, Evurtius, Evortius ou Eortius; alifariki Orleans, nchini Ufaransa, 340 hivi) alikuwa askofu wa 4 wa mji huo[1][2].

Thumb
Mt. Evurzi katika dirisha la kioo cha rangi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 7 Septemba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads