Fabius

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Fabius (mzaliwa wa Mauretania, alifia dini 303 au 304 huko Mauretania Caesariensis,[1] leo Cherchell, nchini Algeria) alikuwa askari wa Dola la Roma.

Kwa kuwa alikataa kushika bendera ya gavana katika mkutano mkuu wa mkoa, alitupwa kwanza gerezani, halafu alipewa na hakimu adhabu ya kifo kwa sababu alizi kujitambulisha kama Mkristo[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Julai[3][4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads