Famiano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Famiano (Koln, Ujerumani, 1090 - Gallese, Italia, 8 Agosti 1150) alikuwa mkaapweke ambaye alihiji Roma, Santiago de Compostela, Nchi takatifu na sehemu nyingine nyingi[1].
Katika safari zake alipewa upadirisho na kujiunga na wamonaki Wasitoo [2].
Alitangazwa mtakatifu na Papa Adrian IV mwaka 1155[1].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads