Papa Adrian IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Adrian IV, Can.Reg. (takriban 1100 – 1 Septemba 1159) alikuwa Papa kuanzia tarehe 4/5 Desemba 1154 hadi kifo chake[1]. Alitokea Hertfordshire, Uingereza[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nicholas Breakspear. Ni Mwingereza pekee aliyepata kuwa Papa.
Alimfuata Papa Anastasio IV akafuatwa na Papa Alexander III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads