Febronia wa Akhmim
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Febronia wa Akhmim (alifariki 9 Oktoba 749) alikuwa bikira wa Syria aliyehamia Misri ili kuwa mmonaki.
Baada ya kuwa abesi wa monasteri yake[1][2], kwa kukubali kukatwa kichwa aliokoa wenzake kutoka hatari ya kubakwa na kuuawa na Waislamu[1][3].
Kanisa la Kikopti linamheshimu kama mtakatifu bikira mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads