24 Februari
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 24 Februari ni siku ya hamsini na tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 310 (311 katika miaka mirefu).
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1103 - Toba, mfalme mkuu wa Japani (1107-1123)
- 1304 - Ibn Battuta, mpelelezi na mtaalamu Mwarabu kutoka Moroko
- 1500 - Kaisari Karoli V wa Ujerumani (alitawala 1519-1556)
- 1536 - Papa Klementi VIII
- 1557 - Kaisari Matthias wa Ujerumani
- 1955 - Steve Jobs, mvumbuzi na mfanyabiashara kutoka Marekani
Waliofariki
- 1925 - Karl Hjalmar Branting, mwanasiasa Mswidi na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 1975 - Nikolai Bulganin, waziri mkuu wa Umoja wa Sovyeti
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Evesi wa Nikomedia, Modesti wa Trier, Ethelbert wa Kent n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 5 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads