Fredegandi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fredegandi (pia: Fredigand, Frégaud, Frego, Fredegad, Fredegandus, Fridegandus; Ireland, karne ya 7 - Deurne, karibu na Antwerpen, leo nchini Ubelgiji, 740 hivi) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Kiselti aliyefanya kazi kubwa pamoja na Foilani, kueneza imani na umonaki katika Ulaya kaskazini magharibi, akawa abati wa Kerkelodor hadi kifo chake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads