Frezali
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Frezali (pia: Frézal, Frézals, Frézol, Frodoald, Frodoaldus, Frotoald, Frothoald, Frédold, Frédald, Frédaldi; karne ya 8 - 828) alikuwa askofu wa mji huo, Galia, leo Ufaransa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads