Fridesvida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fridesvida (jina asili: Frithuswith, pia: Frevisse, Fris, n.k.; 650 hivi - Binsey, 727) alikuwa binti wa mfalme mdogo nchini Uingereza[1]. Alianzisha monasteri dabo huko Oxford[2] akaiongoza kama abesi[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads