Fridolini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fridolini wa Säckingen (alifariki karne ya 6 au karne ya 7) alikuwa mmonaki mmisionari kutoka Ireland, maarufu kwa kuinjilisha kabila la Waalamani na kuanzisha monasteri mbili huko Säckingen katika nchi ya Ujerumani ya leo baada ya kuzunguka sehemu mbalimbali za Ufaransa [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads