Fronti wa Perigueux
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fronti wa Perigueux (alifariki Perigueux, Akwitania, leo nchini Ufaransa, karne ya 1 au ya 3) alikuwa Mkristo ambaye anasemekana aliinjilisha mji huo na kuwa askofu wake wa kwanza [1].
Inasimuliwa aliwahi kukimbilia Misri, lakini labda ni kwa sababu alichanganywa na mmonaki Fronto wa Nitria.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads