Gafsa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gafsa (kwa Kiarabu: قفصة "qafṣah", hapo awali paliitwa Capsa katika Kilatini) ni mji mkuu wa wilaya ya Gafsa huko Tunisia.


Jina lake limetokana na utamaduni wa kicapsa wa kimesolithiki.
Mwaka 2014 Gafsa ilikuwa na idadi ya wakazi takribani 95,242 [1]. Hivyo ni mji wa tisa kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo kilomita 335 kutoka mji mkuu Tunisi.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads