Galatia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Galatia ni jina la mkoa wa zamani katikati ya nchi inayoitwa leo Uturuki.

Galatia ilipata jina hilo baada ya kuvamiwa na kukaliwa na kabila la Wagali kutoka Ufaransa kupitia Bulgaria ya leo katika karne ya 3 KK.
Mji mkuu wake ulikuwa Ancyra (leo Ankara, mji mkuu wa Uturuki).
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads