Guntero
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Guntero (kwa Kicheki Vintíř, kwa Kihungaria Günter, kwa Kijerumani Günther; Bavaria, leo nchini Ujerumani 955 hivi – Prášily, leo nchini Ucheki, 1045) alikuwa mkaapweke msituni baada ya kuachana na anasa za dunia alizozifuata hadi umri wa miaka 50 [1], na kujiunga kwanza na monasteri kama bradha.

Alihusika pia na uinjilishaji wa Hungaria [2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads