Gwibati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gwibati (kwa Kilatini: Guibertus; 892 - 23 Mei 962), mzao wa ukoo bora kutoka Ubelgiji wa leo, kwanza alifanya kazi jeshini, halafu akawa mkaapweke, mwanzilishi wa monasteri[1][2] ambayo baadaye aliiweka chini ya kanuni ya Mt. Benedikto, ila mwenyewe alirudia maisha ya upwekeni hadi kifo chake. [3][4][5].

Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Alitangazwa rasmi mwaka 1211[6] .
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads