Hermani Yosefu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hermani Yosefu
Remove ads

Hermani Yosefu, O. Prem. (Köln, 1150 hivi – Hoven, 7 Aprili 1241) alikuwa padri wa shirika la Premontree nchini Ujerumani maarufu kwa kumpenda kitoto Bikira Maria na kuadhimishwa kwa tenzi na nyimbo za sifa Moyo Mtakatifu wa Yesu[1].

Thumb
Mt. Hermani Yosefu katika dirisha la kioo cha rangi.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu, hasa baada ya kutangazwa rasmi na Papa Pius XII tarehe 11 Agosti 1958.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads