Hildemarka

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Hildemarka (alifariki Fecamp, 682 hivi) alikuwa abesi wa monasteri wa Fecamp nchini Ufaransa kwa miaka 16 [1].

Huko alimpokea kwa wema na kumtunza askofu Leodegar wa Autun ambaye alikuwa amelemazwa na baadaye akatekwa na kuuawa na adui yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake ni tarehe 19 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads