Hildesheim

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hildesheim
Remove ads

Hildesheim ni mji wa Saksonia Chini nchini Ujerumani ya Kaskazini, km 30 upande wa kusini wa mji mkuu Hannover. Idadi ya wakazi wake ni takriban 102,903.

Thumb
Mji wa Hildesheim
Thumb
bendera ya Mji wa Hildesheim
Thumb
Kanisa la Mt. Mikaeli huko Hildesheim
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...

Ni mji wa kihistoria maarufu hasa kwa majengo yaliyoachwa na askofu Benwadi aliyeishi huko mnamo 993-1022 BK.

Remove ads

Tazama pia

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hildesheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads