Ida

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ida
Remove ads

Ida, O.S.B. (kwa Kijerumani Idda, Ita, Itha, Itta, Ydda, Judith, Gutta; Kirchberg, Ujerumani, 1140 hivi – Fischingen, leo nchini Uswisi, 3 Novemba 1226) alikuwa mke wa kabaila, halafu mmonaki akiishi kama mkaapweke karibu na monasteri ya Kibenedikto alipofariki [1].

Thumb
Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto XIII mwaka 1724.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Novemba [2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads