Insomniac

From Wikipedia, the free encyclopedia

Insomniac
Remove ads

Insomniac ni albamu ya nane (na albamu yake ya nne kwa lugha ya Kiingereza) kutoka kwa mwimbaji Enrique Iglesias. Albamu hii imetayarishwa na John Shanks, Kristian Lundin, Sean Garrett, Anders Bagge, Marko Taylor, Stargate, na Maratone. Pia, ina mashirikiano yake ya kwanza na rapa (Lil Wayne) pamoja bendi ya Ringside kwenye wimbo wa "Tired of Being Sorry".

Ukweli wa haraka Studio album ya Enrique Iglesias, Imetolewa ...

Albamu hii inasemekana kuwa tofauti na albamu zake za awali, kwa sababu inachanganya nyimbo za kisasa zaidi kuliko muziki wake wa pop. Vilevile, kuna hip hop na vipengele vya R & B na Kilatini kwenye albamu hii. Ilitolewa tarehe 12 Juni 2007 katika nchini Marekani na 11 Juni 2007 kote duniani.

Remove ads

Nyimbo zake

  1. "Ring My Bells" - 3:56
  2. "Push" - 3:53
  3. "Do You Know?(The Ping Pong Song) "- 3:40
  4. "Somebody's Me" - 4:00
  5. "On Top of You" - 3:40
  6. "Tired of Being Sorry" - 4:03
  7. "Miss You" - 3:23
  8. "Wish I Was Your Lover" - 3:25
  9. "Little Girl" - 3:47
  10. "Stay Here Tonight" - 4:15
  11. "Sweet Isabel" - 3:15
  12. "Don't You Forget About Me" - 3:12
  13. "Dímelo" - 3:39
  14. "Alguien Soy Yo" - 4:00
  15. "Amigo Vulnerable" - 4:03
  16. "Baby Hold On" (Lugha Bonus Track) - 3:49
  17. "Hero" (Thunderpuss Edit) (Ulaya na Asia Bonus Track)
  18. "Not in Love" (akimsh. Kelis) (Armand Van Helden Club Mix) (EU Bonus Track)
  19. "Can You Hear Me?" (Uefa Euro 2008 Theme Song) (Re-Release Bonus Track)
  20. "Laisse Le Destin L'emporter" (akimsh. Nâdiya) (Re-Release Bonus Track)
  21. "Do You Know?(The Ping Pong Song) "(Ralphi Rosario Na Christina CJ's Radio Edit) (Re-Release Bonus Track)

Toleo jipya nchini India ilikuwa na DVD iliyo na video za nyimbo "Do You Know", "Somebody's Me", "Tired of Being Sorry" na "Push" (akimsh. Lil Wayne).

Remove ads

Chati

Insomniac ilikuwa albamu ya kuuzwa zaidi katika mwaka wa iliyotolewa nchini Uhindi ambapo ilishinda hata Minutes to Midnight ya Linkin Park. Ilitolewa tena nchini India tarehe 8 Julai 2008, pamoja na dvd ya bure.

Maelezo zaidi Chati (2007), Namba ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads