Enrique Iglesias

From Wikipedia, the free encyclopedia

Enrique Iglesias
Remove ads

Enrique Miguel Iglesias Preysler (amezaliwa tar. 8 Mei 1975, mjini Madrid, Hispania) ni mwimbaji wa muziki aina ya pop, mtunzi na mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya Hispania. Ni mtoto wa mwimbaji wa muziki bwana Julio Iglesias na mwandishi wa habari, mwanamitindo na mtangazaji wa vipindi vya telesheni wa Kifilipino Bi. Isabel Preysler.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...

Enrique alianza shughuli za muziki na studio moja iitwayo Fonovisa Records ambayo ndio iliomsadia kuwa miongoni mwa wanamuziki maarufu huko Latin Amerika na katika soko la muziki wa Kilatin huko Marekani, na kuuza albamu nyingi za Kihispania kuliko msanii yoyote yule wa Kihispania, kwa muda wote.

Remove ads

Diskografia

Makala kuu: Diskografia ya Enrique Iglesias

Studio Albamu kwa Kihispania

  • 1995: Enrique Iglesias
  • 1997: Vivir
  • 1998: Cosas del Amor
  • 2002: Quizás

Studio Albamu kwa Kiingereza

  • 1999: Enrique
  • 2001: Escape
  • 2003: 7
  • 2007: Insomniac

Kompilesheni

  • 1998: Remixes
  • 1999: Bailamos Greatest Hits
  • 1999: The Best Hits
  • 2008: Enrique Iglesias: 95/08 Exitos
  • 2008: Greatest Hits

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enrique Iglesias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads