Isfridi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Isfridi, O.Prem. (1115 - Ratzeburg, Holstein, Ujerumani, 15 Juni 1204) alikuwa askofu wa 3 wa Ratzeburg[1] kutoka shirika la Wapremontree[2], ambaye, huku akidumisha nidhamu ya kitawa, aliinjilisha Wavendi [3].

Ndiyo sababu tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Benedikto XIII alithibitisha heshima hiyo mwaka 1725.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads