Ludolfo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ludolfo, O.Prem. (alifariki Wismar, Holstein, Ujerumani, 1250) alikuwa askofu wa Ratzeburg kutoka shirika la Wapremontree, ambaye, kwa sababu ya kutetea uhuru wa Kanisa alitupwa katika gereza duni sana kwa amri wa mtemi Alberto I wa Saxony; huko alidhoofika kiafya, kiasi kwamba alipotolewa kifungoni akafariki dunia mara moja[1][2].

Ndiyo sababu tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads