Isidori mkulima
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Isidori mkulima (kwa Kihispania Isidro Labrador, Madrid, Castilia, 1070 hivi – Madrid, 15 Mei 1130[1]) alikuwa mkulima wa Hispania maarufu kwa upendo wake kwa maskini na wanyama.


Pamoja na mke wake, mwenye heri Maria wa Cabeza, aliwajibika katika kazi ngumu za shambani, akivuna kwa uvumilivu wake tuzo ya mbinguni kuliko mazao ya ardhi akawa kielelezo cha mkulima Mkristo [2].
Papa Paulo V alimtangaza mwenye heri tarehe 2 Mei 1619, halafu Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads