Papa Paulo V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Paulo V (17 Septemba 1550 – 28 Januari 1621) alikuwa Papa kuanzia tarehe 16 Mei/29 Mei 1605 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Camillo Borghese.
Alimfuata Papa Leo XI akafuatwa na Papa Gregori XV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.