Papa Gregori XV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Gregori XV (9 Januari 1554 – 8 Julai 1623) alikuwa Papa kuanzia tarehe 9/14 Februari 1621 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro Ludovisi.
Alimfuata Papa Paulo V akafuatwa na Papa Urbano VIII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads