Itamari wa Rochester

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Itamari wa Rochester (kwa Kiingereza: Ithamar, Ythamar; alifariki Rochester, 656/664[1] [2]) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji huo wa Uingereza, wa kwanza mwenye asili ya Kigermanik.

Aling'aa kwa elimu[3] na ugumu wa maisha[4]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Juni[5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads