Mkoa wa Kwango

Mkoa wa Jamhuri ya Kidemokrasia y'a Kongo From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Kwango
Remove ads

Mkoa wa Kwango ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ukweli wa haraka Nchi, Mikoa ...

Jina linatokana na mto Kwango unaotumika kama mpaka na Angola.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,618,700.

Mji mkuu ni Kenge.

Wilaya za mkoa huo ni:

Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kwango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads