Mkoa wa Sankuru

jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Sankuru
Remove ads

Mkoa wa Sankuru ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...

Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,593,400.

Mji wake mkuu ni Lodja.

Remove ads

Wilaya

Mkoa umegawanywa katika wilaya sita:

  • Katako Kombe – na mji wa Katako-Kombe na ule wa Lumumbaville
  • Kole – na mji wa Kole
  • Lodja – na mji wa Lodja
  • Lomela – na mji wa Lomela
  • Lubefu – na mji wa Tshumbe Ste Marie na ule wa Lubefu
  • Lusambo – na mji wa Lusambo

Picha

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sankuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads