Jebiniana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jebiniana (pia huitwa Djebeliana) ni mji katika wilaya ya Sfax huko Tunisia.[1][2]
Mji huu upo kilomita 35 kaskazini kwa Sfax kwenye fukwe za Bahari ya Mediteranea karibu na El Amra.[3][4]
Mji huo hupatikana katika latitudo: 35.033333Kas, Longitudo: 10.916667Mas.[5]
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads