Jeremari wa Fly

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jeremari wa Fly
Remove ads

Jeremari wa Fly (Vardes, karne ya 7 - Saint-Germer-de-Fly, 30 Desemba 658) alikuwa abati wa monasteri aliyoianzisha karibu na Beauvais, leo nchini Ufaransa, mwaka 655, baada ya kuacha cheo chake katika ikulu na familia yake[1][2].

Thumb
Sanamu yake katika kanisa la monasteri yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waortodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe ya kifo chake[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads