Joviniani wa Auxerre
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Joviniani wa Auxerre (kwa Kilatini: Jovinianus; kwa Kifaransa: Jovinien; alifia dini Auxerre, leo nchini Ufaransa, 260) alikuwa msomaji wa Kanisa, kati ya wainjilishaji wa kwanza wa mji huo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads