Juliana Falconieri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Juliana Falconieri, O.S.M. (Firenze, Italia, 1270 hivi – Firenze 1341) alikuwa bikira wa shirika la Watumishi wa Maria[1] lililoanzishwa na ndugu wa baba yake na wenzake sita.

Alikuwa kiongozi wa kwanza wa jumuia ya kike wa utawa huo[2].
Alitangazwa na Papa Inosenti XI kuwa mwenye heri tarehe 26 Julai 1678, na Papa Klementi XII kuwa mtakatifu tarehe 16 Juni 1737.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
